Viongozi wahimiza kudumisha demokrasia na haki za raia

  • | KBC Video
    10 views

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu yametoa wito kwa viongozi wa Afrika wachukue hatua madhubuti kuunga mkono demokrasia, haki na haki za raia wao. Ujumbe huo ulitolewa wakati wa kongamano la kanda lililoandaliwa jijini Nairobi, ambapo muungano ulioongozwa na mkurugenzi mkuu wa shirika la Amnesty International Houghton Irungu ulikariri haja ya dharura ya mabadiliko kote barani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive