Viongozi wanalaumiana kuhusu kukithiri kwa ufisadi kaunti ya Taita Taveta

  • | Citizen TV
    77 views

    Kufuatia mgogoro katika Bunge la kaunti ya Taita Taveta ambapo kumekuwa na kambi mbili ambazo zinalaumiana kuhusu suala la ufisadi na utumizi mbaya wa mamlaka