26 Aug 2025 10:22 am | Citizen TV 425 views Duration: 2:11 Viongozi wapya wa chama cha ODM kaunti ya Kisii wamewahakikishia wanachama na wenyeji wa kaunti ya Kisii kwamba wako tayari kuhakikisha kuwa eneo la Gusii litasalia kuwa ngome ya chama hicho kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027