Viongozi washinikiza amani wakati wa chaguzi ndogo

  • | Citizen TV
    43 views

    Viongozi wa Kenya kwanza wanashinikiza amani wakati wa uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Malava kaunti ya kakamega utakaofanyika tarehe 27 mwezi Novemba. Viongozi hao waliwataka wakazi kushirikiana na rais william ruto ili aweze kufanikisha mipango iliyoratibiwa ya kuwafaidi wananchi. Waliwataka wakazi kuendeleza umoja na utangamano na kumchagua kiongozi atakayewafaa kimaendeleo. mgombea wa kiti hicho kwa tiketi ya UDA, Enock Andanje alifariki akielekea kwenye hafla hiyo.