24 Sep 2025 1:41 pm | Citizen TV 193 views Duration: 1:59 Viongozi katika Kaunti ya Murang'a wanatoa wito wa mbinu ya pamoja kuhusu afya ya akili, inayowaleta pamoja viongozi wa kidini, jamii, na serikali.