Viongozi watakiwa kutatua migogoro ya ardhi, Mbulia

  • | Citizen TV
    39 views

    Changamoto imetolewa kwa viongozi kaunti ya Taita Taveta kushirikiana na wamiliki wa mashamba makubwa ya uhifadhi ili mashamba hayo yavutie wawekezaji ambao watabuni nafasi za ajira kwa mamia ya vijana