Viongozi watofautiana kushirikishwa kwa jeshi katika oparesheni za kiusalama huko North Rift

  • | KBC Video
    327 views

    Baadhi ya viongozi watofautiana na chama cha wanasheria hapa nchini kuhusiana na kushirikishwa kwa jeshi katika oparesheni za kiusalama katika eneo la North Rift.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #northrift #insecurity