Visa 1,300 vya mimba za mapema vyaripotiwa ndani ya mwaka mmoja katika kaunti ya Kakamega

  • | Citizen TV
    147 views

    Jumla ya visa 13000 vya mimba za mapema vimeripotiwa katika kaunti ya Kakamega katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita huku idadi ya wanaougua saratani na Fistula ikiongezeka.