Visa vya dhuluma za kijinsia vinazidi kukithiri kila uchao hususan wasichana wadogo

  • | K24 Video
    138 views

    Visa vya dhuluma za kijinsia vinazidi kukithiri kila uchao, hasa unajisi miongoni mwa wasichana wadogo. Na cha mno zaidi ni wengi wamesalia na maswali chungu nzima yasiokuwa na majibu na zaidi makovu yasiyoweza kusaulika.