Visa vya wizi wa dawa na vifaa vya matibabu vyakithiri katika hospitali za umma

  • | Citizen TV
    404 views

    Visa vya wizi wa dawa na vifaa vya matibabu kutoka vituo vya afya vya umma kaunti ya Taita Taveta vimeendelea kushuhudiwa. Jambo ambalo limeendelea kulemaza shughuli za afya katika kaunti hiyo. Kisa cha hivi punde kikiripotiwa Taveta ambapo dawa na vifaa vya matibabu vya takriban shilingi laki moja vilinaswa ndani ya nyumba ya mhudumu mmoja wa afya kutoka hospitali ya umma ya Taveta .