Skip to main content
Skip to main content

Vita dhidi ya dhuluma za jinsia Kilifi

  • | Citizen TV
    150 views
    Duration: 2:09
    Huku ulimwengu ukiendeleza kampeni ya siku 16 dhidi ya ukatili wa kijinsia, wadau mbalimbali mjini Kilifi wameanzisha mpango wa kuhamasisha wahudumu wa bodaboda mjini humo ili wajiunge kwenye vita dhidi ya ukatili wa kijinsia.