Vita dhidi ya mihadarati na pombe haramu kaunti ya Taita Taveta

  • | K24 Video
    24 views

    Idadi kubwa ya vijana kaunti ya Taita Taveta inasemekana kujiingiza katika mihadarati na pombe haramu. Kwa mujibu wa vikosi vya usalama eneo hilo, idadi hiyo inaweza kupungua au hata kuisha endapo jamii itashirikiana na serikali.