Skip to main content
Skip to main content

Vita dhidi ya ukeketaji zinaendelea, huku wasiwasi ukizidi kuhusu visa hivyo Taita Taveta.

  • | Citizen TV
    108 views
    Duration: 1:48
    Kuna haja kwa juhudi zaidi kufanywa hapa nchini ili kumaliza ukeketaji. Viongozi kutoka kaunti ya Taita Taveta wakisema kuwa visa vya ukeketaji vimekuwa vikiendelezwa hasa mpakani mwa Kenya na Tanzania. Viongozi wa kaunti hiyo wakisema ukeketaji umekuwa ukifanywa sio tu kwa wasichana wa shule za msingi na upili bali hata watoto wadogo