Vita dhidi ya uuzaji na utengezaji pombe haramu nchini

  • | K24 Video
    43 views

    Maafisa elfu kumi kati ya maafisa zaidi ya elfu 42 wa polisi waliohudumu zaidi ya miaka 3 katika vituo vyao tayari wamehamishwa, huku serikali ikipiga jeki vita vyake dhidi ya uuzaji na utengezaji pombe haramu. waziri wa usalama wa ndani prof. Kithure Kindiki ameyasema haya alipotua kaunti ya Trans Nzoia, ambako amesisistiza kuwa maafisa wote wa usalama wanaomiliki maeneo ya burudani lazima waamue kuondoka kwenye idara hio au kuachana na biashara hio.