- 51 views
Vita vya maneno vilizuka wakati wa ibada ya mazishi katika eneo la Lubao kaunti ya kakamega ambapo gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa na seneta wa kaunti hiyo Boni Khalwale walishambuliana vikali kuhusiana na usimamizi wa kaunti hiyo. Haya yanajiri huku mzozo ukinukia katika kaunti ya Trans Nzoia ambapo gavana wa kaunti hiyo George Natembeya analaumiwa kwa kuhujumu juhudi za wanachama wa bunge la kaunti hiyo za kutekeleza shughuli mbalimbali. Kwa hizo na habari nyingine ni katika mkusanyiko ufuatao wa habari za siasa.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Vita vya maneno viazuka kati ya Baraza na Khalwale
- - Duniani Leo ››
- - Madai dhidi ya Iran ››
- - 🔴 KTN LIVE STREAM ››
- 21 Jun 2025 - UN Secretary-General Antonio Guterres pleaded Friday with all sides to "give peace a chance" in the Iran-Israel conflict, warning that the violence could spiral out of control.
- 21 Jun 2025 - American R&B singer Chris Brown on Friday pleaded not guilty in a UK court to a charge stemming from an alleged London nightclub brawl in 2023.
- 21 Jun 2025 - Images on Iran's state television showed protesters in Tehran holding up photographs of commanders killed since the start of the war, while others waved the flags of Iran and the Lebanese militant group Hezbollah.
- 21 Jun 2025 - Westlands, Kilimani and Parklands have been highlighted as the most affected areas.
- 21 Jun 2025 - Protest anthems that fueled Gen Z revolt and birthed a movement
- 21 Jun 2025 - Gachagua to President: Mt Kenya people will send you home
- 21 Jun 2025 - TransCentury suffers setback in Sh2.2 billion loan row with Equity Bank
- 21 Jun 2025 - Kabu gets orders to stop Sarah from slurring him
- 21 Jun 2025 - June 25th protests should spark our national renewal
- 21 Jun 2025 - State targets 'ghost' NGOs in new draft rules to boost accountability