Hivi karibuni Elon Musk alialitupiana maneno na mwanasiasa wa Afrika Kusini Julius Malema ambapo alisema wanapaswa kumtangaza Malema kuwa mhalifu wa kimataifa.
Malema alimjibu na kumwambia Musk 'aende zake.' Lakini haya yote yalianzia wapi?
@frankmavura anaenelezea
#bbcswahili #afrikakusini #marekani
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
15 Jul 2025
- Two men guilty of the "deliberate and mindless" felling of one of the UK's most iconic trees, sparking national outrage, will find out on Tuesday if they are to be jailed.
15 Jul 2025
- Mudavadi said Kenya has continued to enjoy strong bilateral and multilateral partnerships, actively engaging in both with states and governments within a shared framework of mutual respect and collaboration.