Mvurya: Uwanja wa Nyayo umewekewa ukuta mpya kwani tunatarajia mashabiki wengi wakati wa CHAN

  • | KBC Video
    16 views

    Waziri Salim Mvurya: Nataka kuwahakikishia Wakenya kwamba tumeekeza vilivyo katika miundomsingi. Uwanja wa Kasarani umepata maboresho makubwa na sasa unakidhi viwango vya CAF. Tumeimarisha usalama kwa kutumia CCTV na kutoa mafunzo kwa maafisa wa usalama. Uwanja wa Nyayo umewekewa ukuta mpya ili kuimarisha usalama, tunatarajia mashabiki wengi wakati wa CHAN

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive