Vitu vya redio vya lugha za asili nchini

  • | K24 Video
    28 views

    VItuo vya redio vya lugha za asili ni hatari kwa amani na utangamano nchini. Tume ya mshikamano wa kitaifa, NCIC imesema vituo hivyo vinatumika kueneza siasa za upotoshaji zinazoweza kuzua vurugu. Mwenyekiti wa tume hiyo Samuel Kobia pia amesema kutakuwa na ufuatiliaji mkubwa wa mitandao ya kijamii katika juhudi za kulinda amani nchini wakati wa uchaguzi mkuu.