Tanzania kuruhusu uraia pacha? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    7,874 views
    Tanzania imebuni sera mpya ya kimataifa, huku rais Samia Suluhu Hassan akisema hatua hii inanuia kuweka taifa hilo katika nafasi nzuri kimataifa. Sera hiyo inaangazia masuala kumi, ikiwemo mahitaji ya raia wa Tanzania wanaoishi nje ya nchi hiyo. Watanzania wengi wanaoishi nje ya nchi na ambao wana uraia wa nchi nyingine wamekuwa wakiomba kufanyiwa mabadiliko ya katiba ili kuwakubali kuwa na uraia pacha. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw