Vituo vyote vya polisi kuwa na kamera za CCTV, Waziri Murkomen atangaza

  • | Citizen TV
    1,311 views

    Zaidi ya vituo 1200 vya polisi vinatarajiwa kuwekwa camera za CCTV katika muda wa miaka miwili ijayo. Waziri wa usalama kipchumba murkomen pia ametangaza kuwa kitabu cha matukio ya polisi -OB- sasa kitawekwa kidijitali. Hatua hiyo inajiri kufuatia ghadhabu ya kitaifa kuhusu kifo cha Albert Ojwang, aliyefariki ndani ya seli ya polisi.