Skip to main content
Skip to main content

Viwango vya maji vya bwawa Nairobi vimezidi kuongezeka na kuzua hofu

  • | Citizen TV
    1,633 views
    Duration: 3:27
    Wakazi wanaoishi maeneo ya chini ya bwawa la Nairobi sasa wameagizwa kuhama kufuatia kujaa kwa viwango vya maji. Mamlaka ya rasilimali za maji imetoa ilani hii ikiwataka wakaazi hao kuhamia maeneo salama.