21 Mar 2026 7:29 pm | Citizen TV 1,063 views Duration: 1:31 Vurugu zilishuhudiwa katika uwanja wa shule ya Litein eneo bunge la Bureti kaunti ya Kericho pale makundi mawili hasimu ya wanabodaboda yalipokabiliana.