- 12,364 viewsDuration: 2:46Vurumai imeshuhudiwa eneobunge la Kasipul kaunti ya Homa bay ambako magari kumi pia yameharibiwa wakati wa uchaguzi wa mchujo wa chama cha ODM. Wafuasi wa wagombea wawili wa chama hicho walikabiliana kwenye tofauti za kisiasa. Vyama vingine vimeendelea kujinadi kwenye maeneo yanayotarajiwa uchaguzi mdogo.