Vyama tanzu vya Azimio vyasema Kalonzo ndiye kiongozi rasmi wa upinzani

  • | Citizen TV
    3,058 views

    Vyama Tanzu Vya Azimio Sasa Vinasema Vitampigia Debe Kalonzo Musyoka Kuwania Urais Kwenye Uchaguzi Mkuu Ujao, Na Kutangaza Kuwa Sasa Ndiye Kiongozi Rasmi Wa Upinzani. Hii Wakisema Ilisukumwa Na Wenzao Kwenye Chama Cha Odm Kuamua Kujiunga Na Serikali. Kalonzo Pia Akisema Kuwa Wakati Mwafaka Umefika Kuungana Na Jamii Za Mlima Kenya Kumpigia Kura Kalonzo. Aidha Wamesema Watapinga Hatua Yoyote Ya Kumtimua Naibu Rais Rigathi Gashagua