Skip to main content
Skip to main content

Vyama vidogo vya kisiasa vyadai kubaguliwa

  • | KBC Video
    64 views
    Duration: 2:07
    Muungano wa vyama vidogo vya kisiasa hapa nchini umewasilisha ombi rasmi kwa bunge la kitaifa, kutaka marekebisho ya jinsi vyama vya kisiasa vinavyofadhiliwa. Muungano huo ukiongozwa na kiongozi wa chama cha NLP dakta Augustus Kyalo Muli, umedai kwamba mfumo wa sasa unabagua vyama vidogo vya kisiasa na kupendelea vile vikubwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive