Vyama vya Ushirika vyaitaka serikali kuimarisha uchumi katika eneo la Pwani

  • | Citizen TV
    174 views

    Muungano wa vyama vya Ushirika Pwani umeitaka serikali kuwashirikisha katika harakati za kufufua vitega uchumi vya Pwani ikiwemo utalii na uchumi wa bahari na maziwa. Wakizungumza Kisiwani Mombasa walipoandaa matembezi ya kutoa hamasisho kuhusu vyama vya Ushirika, muungano huo umetaka wakenya kuweka akiba na kuwekeza licha ya pandashuka za kiuchumi.