Vyama vya ushirika vyazungumzia uwekezaji na kuweka akiba

  • | Citizen TV
    54 views

    Vyama vya ushirika kutoka Pwani vimehimizwa kutoa mafunzo kuhusu uwekezaji na kuweka akiba ili kujiendeleza. Akizungumza wakati wa kutoa mafunzo kwa wajumbe wa chama cha ushirika cha bandari, mkurugenzi wa vyama vya ushirikiano Nelson Nyoro amedai kuwa wanachama wengi hawana ufahamu kuhusu vyama hivyo. Afisa mkuu wa chama cha ushirika cha Bandari Joseph Bee amesema kuwa kushuka kwa dola kumewapa nafuu baadhi ya wafanyabiashara wenye mikopo