- 272 viewsDuration: 2:02Wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma wameapa kutorejea darasani mapaka serikali iwajibike na kutekeleza makubaliano ya kuwalipa fedha wanazodai. Kupitia wasimamizi wa vyama vya wahadhiri na wafanyikazi wa vyuo vikuu, wahadhiri wanasema serikali imekuwa ikiweka ahadi na kuwapuuza kula mara wanapohitajika kutimiza ahadi hizo. Hali hii inaendelea kutatiza masomo vyuoni