- 73 viewsWanafunzi wa shule ya chekechea ya Mweruti eneo la Sweetwater's katika Kaunti ya Laikipia, wanatoa wito kwa serikali kuingilia kati kufuatia hali mbaya ya vyoo shuleni humo. Shule hiyo yenye zaidi ya wanafunzi 20 inalazimika kutumia choo kimoja kilichochakaa, kinachoyumba na kuporomoka upande mmoja, hali inayomlazimu mwanafunzi mmoja kushikilia mlango ili kumsaidia mwenzake