Vyuo vikuu kanda ya Afrika Mashariki vyatishia maandamano kupinga mauaji Sudan

  • | NTV Video
    497 views

    Wanafunzi kutoka muungano wa vyuo vikuu kanda ya Afrika Mashariki wametishia kufanya mandamano hadi afisi ya ubalozi wa Sudan hapa Nairobi kupinga mauaji ya kiholela yanayo endelea nchini humo dhidi ya raia wasio na hatia.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya