Vyuo vya TVET vyapasa kuimarisha muundo msingi

  • | KBC Video
    47 views

    Walimu wakuu na mameneja wa vyuo vya mafunzo anuwai wametakiwa kuwekeza katika teknolojia ibuka ili kukimu mahitaji ya karne ya 21. Taasisi ya elimu kuhusu lishe bora inasema ipo haja kwa vyuo vya kiufundi kurekebisha kozi zao kwa kuangazia uwezekano wa kutumia kwa pamoja rasilimali zao kutoa mafunzo kwa wanafunzi zaidi kutosheleza mahitaji yanayoongezeka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #TVET