Waafghanistan watekwa nyara na kuteswa kwenye mpaka

  • | BBC Swahili
    952 views
    Uchunguzi wa BBC umefichua kuwa wahamiaji wa Afghanistan wanatekwa nyara na kuteswa ili watoe pesa kwenye mpaka wa Iran na Uturuki. Video zinatumwa kuwatia hofu familia zao na kuwataka walipe kiasi kikubwa cha pesa ili kuwaachilia wapendwa wao. Mwandishi wa BBC Soran Qurbani, ambaye aliwahi kusafirishwa kimagendo hadi Uingereza miaka 12 iliyopita kutoka Iran, ametumia miezi kadhaa kufuatilia simulizi za wakimbizi katika njia hiyo. #bbcswahili #afghanistan #iran