Waajiri watakiwa kuweka mikakati ya kuimarisha afya ya akili ya wafanyikazi

  • | Citizen TV
    335 views

    Waajiri wametakiwa kuweka mikakati ya kuimarisha afya ya akili ya wafanyikazi wakiwa kazini ili kuhakikisha utendakazi bora Taasisi ya usimamizi wa maslahi ya wafanyikazi IHRM itatoa mwongozo utakaowezesha magonjwa ya akili kukabiliwa mapema. Mshauri wa rais wa mswala ya afya ya akili Dkt.Frank Njenga akisema serikali ina jukumu la kuwekeza kikamilifu katika afya ya akili ili kuthibiti takwimu zinazoongeza za matatizo ya akili nchini.