Skip to main content
Skip to main content

Waakilishi wadi wa murang’a waitaka serikali kuwapiga jeki wakulima wa maembe

  • | Citizen TV
    72 views
    Waakilishi wadi wanaokaa kwenye Kamati ya kilimo na biashara katika bunge la kaunti ya Murang’a wameitaka serikali kuu kukoma kutelekeza wakulima wa maembe na badala yake watengewe fedha za kupiga jeki kilimo cha tunda hilo ambacho kimeendelea kudorora kutokana na ukosefu wa soko.