Waandamanaji 3 wazikwa maeneo tofauti nchini

  • | Citizen TV
    1,366 views

    Familia tatu kaunti za nakuru, Kirinyaga na Nyandarua zimewazika wapendwa wao waliouawa wakati wa maandamano ya Saba saba. Mmoja kati ya waliozikwa leo ni Harrison Mwangi ambaye mwili wake ulionekana kwenye kamera ukikokotwa na maafisa wa usalama eneo la Juja. Familia ya Mwangi imesisitiza itaendelea kutafuta haki huku wakihimiza maafisa wa usalama kuzingatia haki za kibinadamu wanapotekeleza majukumu yao