Skip to main content
Skip to main content

Waandamanaji 31 waliokamatwa Machakos wafikishwa kortini

  • | Citizen TV
    4,176 views
    Duration: 44s
    Waandamanaji 31 waliokamatwa kufuatia maandamano ya kupinga ongezeko la bei ya mafuta Aprili 21 Machakos wameachiliwa kwa dhamana ya sh elfu kumi au elfu tatu pesa taslimu.