Familia za waathiriwa wa maandamano yaliyoongozwa na vijana wa Gen- Z mwaka 2024 sasa zinadai kufidiwa, zikishutumu baadhi ya mashirika ya kijamii na madalali kwa kuvuruga juhudi zao za kupata haki. Familia hizo ziliandaa maandamano ya amani jijini Nairobi leo, zikitembea hadi majengo ya bunge na Mahakama kuu, ambapo ziliwasilisha maombi ya kutaka asasi hizo mbili kuchukua hatua kuhakikisha zinapata haki.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive