24 Sep 2025 10:26 am | Citizen TV 329 views Duration: 1:46 Waathiriwa wa mafuriko katika kaunti ya Tana River wanakila sababu ya kutabasamu baada ya ujenzi wa makaazi yao ya kudumu kukamilika.