- 792 viewsDuration: 2:13Huku serikali ikitarajiwa kuwakabidhi waathiriwa wa mkasa wa maporomoko ya ardhi nyumba walizojengewa katika eneo la Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet ,baadhi ya waathiriwa wanadai kuwa majina yao yaliondolewa kwenye orodha .