Waathiriwa wa mlipuko wa gesi Embakasi waendelea kupokea matibabu

  • | K24 Video
    41 views

    Hospitali ya Nairobi imekita kambi katika kituo cha matibabu cha Embakasi kusaidia kutoa huduma za afya kwa waathiriwa wa mkasa wa moto embakasi. Bado wanatoa wito kwa wahisani kutoa msaada WA dawa na vifaa vingine.