Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa wanyama pori walalamikia kucheleweshwa kwa fidia kutoka KWS

  • | NTV Video
    126 views
    Duration: 1:47
    Miezi sita baada ya wizara ya utalii na wanyamapori kuzindua mfumo mpya wa dijitali wa kushughulikia fidia kwa waathiriwa wa wanyama pori, maelfu ya waathiriwa wanaosubiri kupitia mfumo wa zamani bado wanalalamikia kucheleweshwa kwa fidia ya mamilioni ya shilingi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya