Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wapya wajitokeza dhidi ya mshukiwa wa mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi

  • | Citizen TV
    13,258 views
    Duration: 3:20
    Waathiriwa zaidi wamejitokeza na kutoa taarifa kwa polisi jinsi mshukiwa wa mauaji Nicholas Mutua alivyowavamia na kuwadhulumu katika msitu wa Kefri huko Kikuyu. Mshukiwa huyo anazuiliwa na polisi akihusishwa na mauaji ya Jane Atila. Jane alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi na alitoweka kisha baadaye mwili wake uliokuwa umekatwa vipande kutambuliwa msituni Kefri