Waathiriwa watano wa mkasa wa mlipuko wa gesi eneo la Embakasi wataka serikali kuwafidia

  • | Citizen TV
    1,539 views

    Kesi: Mkasa Wa Mlipuko Embakasi Waathiriwa Watano Wa Mkasa Wawasilisha Kesi Waathiriwa Wanataka Serikali Na Wahusika Kuwafidia Wanadai Utepetevu Ulisababisha Mlipuko Wa Gesi Watu 12 Walifariki Kwenye Mlipuko Huo Mwezi Februari