Waathiriwa wengi wa nasuri wasaidiwa katika kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    270 views

    Tatizo la nasuri ama fistula bado linaathiri maelfu ya wanawake nchini hasa vijijini, na kuwaacha wengi na majeraha ya kimwili na kisaikolojia. Licha ya kuwa hali hii inaweza kuepukika na kutibiwa, wengi huteseka kimya kimya kwa sababu ya unyanyapaa na ukosefu wa huduma za afya.