Waathiriwa zaidi wa ulaghai wa pesa Eldoret wajitokeza kueleza yaliyowakumba

  • | Citizen TV
    790 views

    Waathiriwa zaidi wa utapeli wa sarafu mjini Eldoret wameendelea kujitokeza, wakielezea yaliyojiri kwenye mikataba yao na kampuni ya Springmark Investments. Miongoni mwa waathiriwa ni William Getumbe na Susan Waititu waliotufungulia mengi kuhusu mikataba hiyo ya tangu mwaka wa 2022.