Skip to main content
Skip to main content

Wabunge Kakamega wakemea siasa za matusi na vurugu

  • | TV 47
    201 views
    Duration: 3:39
    Wabunge Kakamega wakemea siasa za matusi na vurugu. Wabunge wasema hatutakubali siasa za matusi na vurugu. Viongozi wa Magharibi wataka wenyeji kumuunga mkono Rais Ruto. Kauli zao zajiri baada ya Waziri Murkomen kuwaonya wanasiasa dhidi ya kufadhili magenge. Wabunge Kakamega waonya kuwa siasa za vurugu zitaibua uhasama. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __