Kanisa la AIPCA, limelaani vikali kisa cha wabunge wawili kutoka kaunti ya Kiambu wanaodaiwa kuchochea watu wasiokuwa waumini kuvuruga ibada ya kanisa eneo la Gatundu Kaskazini iliyohudhuriwa na rais William Ruto.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya