Wabunge wa Azimio wapinga pendekezo la kuongezwa karo ya shule za upili

  • | KBC Video
    19 views

    Baadhi ya wabunge wa Azimio wamepinga mapendekezo ya kuongezwa kwa karo ya shule za upili kwa mwaka ujao. Ikiwa mapendekezo hayo ya chama cha wakuu wa shule za sekondari humu nchini yataidhinishwa basi wazazi walio na watoto katika shule za viwango vya kaunti watalipa karo ya juu zaidi ya shilingi 25,488. Wabunge wa Azimio wanasema pendekezo hilo ni la kuwaongezea mzigo wazazi ambao tayari wanatatizwa na gharama ya juu ya maisha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive