13 Jul 2026 10:40 am | Citizen TV 572 views Duration: 1:50 Baadhi ya wabunge wa eneo la Magharibi sasa wanampigia debe waziri wa vyama vya ushirika Wycliffe Oparanya kuwa naibu rais wa William Ruto katika uchaguzi wa mwaka 2027.