- 2,700 viewsDuration: 3:48Wabunge wa Nairobi wanaounga mkono ushirikiano wa serikali na chama cha UDA wanatoa taarifa . Taarifa hiyo inajiri huku kukiwa na vuta nikuvute kuhusu mkataba uliotiwa saini kati ya serikali kuu na gavana wa Nairobi Sakaja Johson kuhusu baadhi ya majukumu ya kaunti kutekelezwa na serikali